Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ustawi wa wanawake waangaziwa kambini nchini Uganda

Ustawi wa wanawake waangaziwa kambini nchini Uganda

Vuguvugu la ustawi wa wanawake likiwa linaendela kwa mikutano mbalimbali hapa mjini New York inayoangazia hali ya kundi hilo, nchini Uganda katika kambi mojawapo ya wakimbizi wanawake wameshiriki katika mbio za baiskeli, kulikoni?

Ungana na John Kibego wa radio washirika Spice Fm iliyoko Hoima nchini Uganda katika makala ifuatayo