Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake Tanzania wainua vipato vyao kwa kutumia teknolojia

Wanawake Tanzania wainua vipato vyao kwa kutumia teknolojia

Wanawake nchini Tanzania wanasema kwa kutumia teknolojia wamefanikiwa kuinua vipato vyao katika ujasiriamali na hivyo kuwasaidia katika kuinua uchumi wa familia na jamii nzima kwa ujumla.

 Wamemweleza Penina Kajura wa radio washrika Afya radio ya Mwanza nchini humo kuwa ustawi wa biashara zao unategemea zaidi mitandao ya kijamii na hata teknolojia za simu ikiwa ni pamoja na kupata wateja. Ungana na Penina katika makala ifuatayo.