Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mgogoro wa Syria unachangia raia wa nchi hiyo kukimbilia nchi jirani Iran

Mgogoro wa Syria unachangia raia wa nchi hiyo kukimbilia nchi jirani Iran

Wakati mzozo wa Syria ukiendelea kutawala katika vichwa vya habari kote duniani,huku suluhu la kisiasa ikiwa ndio mchakato unaondelea hivi sasa, wakimbizi raia wa Syria wanaendelea kuhaha kutafuta hifadhi huku wakikumbana na mikasa mbalimbali.

Nchini Iraq nchi inayotajwa kuwa na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe, hilo haliwazuii wakimbizi wa Syria kujihifadhi humo, baada ya mpka waq nchi hiyo uliokuwa umefungw akufunguliwa. Ungana naJ oseph Msami katika ripoti yenye simulizi ya kuhuzunisha kuhusu madhila ya wakimbizi hao.