Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kati ya radio na intaneti ipi ina nafasi kubwa

Kati ya radio na intaneti ipi ina nafasi kubwa

Dunia ikiwa imeadhimisha wiki ya internet salama iliyokwenda sanjari na siku ya radio duniani, mjadala mkubwa umekuwa nikamauwepo wa radio unaondoa umuhimu wa radio?

Joseph Msami anaangazia tishio la kutoweka kwa radio kutokana na wengi kupata taarifa muhimu kwenye mitandao inayopatikana katika internet, ungana naye.