Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkutano mkuu kujadili agenda ya maendeleo ya wahamiaji:IOM

Mkutano mkuu kujadili agenda ya maendeleo ya wahamiaji:IOM

Mjadala mkuu kuhusu uhamiaji wa kimataifa na mendeleo unatarajiwa kufanyika kwa siku mbili mjiniNew York ambapo mashirika mengine ya Umoja wa Mataifa yatajumuishwa katika kupanga sera na mikakati ya kundihilokatika mkutano unaoanza jumatano.

 Msemaji wa shirika la kimataifa la uhamiaji IOM, Jumbe Omari Jumbe katika mahijiano na idhaa hii anasema shirika hilo lina agenda muhimu kuhusu uhamiaji ambazo zinazokusudiwa kutumika kama sehemu ya mkakati wa maendeleo wa UM baada ya 2015

(Sauti ya Jumbe)