Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tanzania mbioni kuendeleza lishe bora

Tanzania mbioni kuendeleza lishe bora

Tanzania inatajwa kuwa miongoni mwa nchi kumi duniani ambazo zinakabiliwa na tatizo la watoto wengi kudumaa, kunakoelezwa kuwa kunasababishwa na ukosefu wa lishe bora wakati mtoto akiwa angali tumboni mwa mamake, na hata baada ya kuzaliwa.

Kwa kutambua ukubwa wa tatizo hilo, hivi karibuni kumezinduliwa kampeni maalum nchini humo, ambayo inahamasisha umma umuhimu wa kuzingatia lishe bora. Kwa mengi zaidi, ungana na George Njogopa kwa makala hii.