Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tanzania yaangazia ajira kwa vijana wakati mkutano wa ILO ukiendelea

Tanzania yaangazia ajira kwa vijana wakati mkutano wa ILO ukiendelea

Wakati mkutano wa 102 wa Shirika la kazi duniani ILO ukiendelea mjini Geneva mwakilishi wa serikali ya Tanzani katika mkutano huo Katibu wa wizara ya Kazi wa Tanzania Eric Shitindi anasema licha ya changamoto kadhaa za kazi zinazoikumba nchi hiyo iliyoko Afrika Mashariki , mkutano huo utatumiwa kuisaida nchi hiyo kupiga hatua katika kusaidia makundi maalum kama wazee na vijana.

Katika majojiano na maalum na Josepha Msami Bwana Shitindi anaanza kwa kueleza maudhui ya mkutano huo

SAUTI MAHOJIANO

Ni Mwakilishi wa mkutano wa 102 wa shirika la kazi duniani ILO Eric Shitindi kama alivyohojiwa na Joseph Msami, mimi ni Grace Kaneiya.