Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kilimo cha maharage ni matumaini ya wakulima Uganda

Picha: UM/Video capture
Mkulima akipanda maharage nchini Uganda.

Kilimo cha maharage ni matumaini ya wakulima Uganda

Mataifa mengi ya kiafrika yanakabiliwa na tatizo la uhaba wa chakula moja ya sababu kubwa ikiwa ni athari ya mabadiliko ya tabia nchi.

Sasa wataalamu na watafiti wa nchini hizo wameanza kuchukua hatua ikiwemo ukulima wa mazo yanayohimili mabadiliko hayo kama maharagge.

Uganda ni miongoni mwa nchi zilizoanza utekelezaji wa mbinu hizo na mwenzetu Siraj Kalyango amezungumza na mmoja wa wataalamu hao mtafiti wa maharage bwana Robin Buruchara anayefanya kazi na kituo cha kimataifa cha kilimo cha kitropic CIAT na pia ni mkurugenzi wa muungano wa utafiti barani Afrika. Anaanza kwa kufafanua kazi ya CIAT