Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tanzania yaungana na dunia kuadhimisha siku ya mazingira.

Tanzania yaungana na dunia kuadhimisha siku ya mazingira.

Nchi mbalimbali duniani leo zimeadhimisha siku ya mazingira duniani zikichagizwa na kauli mbiu kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la mazingira, UNEP "kufikiri, kula, kuhifadhi mazingira na kupunguza uharibifu wa chakula katika jamii"

Nchini Tanzania siku hii imeadhimishwa kwa kwa hamasa ya kuhifadhi mazingira kulingana na kauli mbiu hiyo kama anavyoeleza naibu katibu mkuu wa wizara ya Kilimo ,chakula na ushirika ,Mhandisi Mbogo Futakamba ambaye katika mahojiano na mwandishi wetu Joseph Msami anaanza kwa kueleza mamabo ambayo serikali ya nchi hiyo inayazingatia kama hatua za awali za kufikia lengo.

SAUTI MBOGO