Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mabadiliko ya tabianchi yazidi kuwekewa mkakati Tanzania:UM

Mabadiliko ya tabianchi yazidi kuwekewa mkakati Tanzania:UM

Wataalamu wa masuala ya tabia nchi, wameanza mkutano wao wa siku tatu nchini Tanzania kwa ajili ya kujadili njia bora zitakazosaidia kukabiliana na janga la uharibifu wa mazingira.  Mkutano huo ulioandaliwa na Umoja wa Mataifa kupitia kitengo chake cha sayansi na maridhiano ya pamoja juu ya tabia nchi, kwa kushirikiana na wenyeji Tanzania, utamalizika kwa kufikiwa makubaliano ya pamoja ambayo yatajadiliwa kwenye mikutano mingine ya usoni. George Njogopa na taarifa zaidi

(SAUTI YA GEORGE)