Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ajira ya watoto kwenye sekta ya ufugaji imekithiri: FAO

Ajira ya watoto kwenye sekta ya ufugaji imekithiri: FAO

Ajira za watoto katika sekta ya ufugaji ni kubwa na iliyopuuzwa na hiyo ni kwa mujibu wa Shirika la Chakula na Kilimo duniani, FAP kwenye utafiti kuhusu masuala ya ajira za watoto katika sekta ya ufugaji.   Kulingana na FAO  sekta ya kilimo inachukua nafasi kubwa kwenye ajira za watoto duniani na kwamba kukabilina na suala hili itahitajika ushirikiano  na serikali , mashirika ya wakulima na familia za vijijini. Jason Nyakundi na taarifa zaidi.