Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mpango mpya wa kuwasaidia wanawake kwenye vita dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa wazinduliwa

Mpango mpya wa kuwasaidia wanawake kwenye vita dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa wazinduliwa

Kamati ya Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa kwa ushirikiano na wakfu wa Rockefeller hii leo wamezindua mpango mpya ya kutambua wajibu wa wanawake kwenye vita dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa.

Mpango huo una lengo la kuonyesha mambo yanayozishauri serikali, vyombo vya habari na umma kwa ujumla kuhusu wajibu wa wanawake katika kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa na kuzuia gesi zinazochafua mazingira. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

(SAUTI YA JASON  NYAKUNDI)