Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nzige wahatarisha mimea nchini Niger na Mali

Nzige wahatarisha mimea nchini Niger na Mali

Shirika la Kilimo na Mazao la Umoja wa FAO linaonya kuwa huenda nzige wakaangamiza mimea ya chakula nchini Niger na Mali baada ya nzige hao kuonekana meneo ya kaskazini mwa Niger wakitokea maeneo yaliyo mbali kaskazini.

FAO inasema kuwa shughuli ya kukabiliana na nzige hao imetatizwa na kuendelea kuwepo ukosefu wa usalama pande zote kati ya mpaka wa Niger na Libya. . George Njogopa anaripoti