Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mpangilio kuhusu haki ya mashamba, sehemu za uvuvi na misitu watolewa

Mpangilio kuhusu haki ya mashamba, sehemu za uvuvi na misitu watolewa

Kamati inayohusika na usalama wa chakula duniani imezindua mipangilio yenye lengo la kuzisaidia serikali kulinda haki za watu za kumiliki shamba, misitu na maeneo ya uvuvi.

Mipangilio hiyo inatoa mwongozo ambao utaziekeza na serikali wakati wa kubuniwa kwa sheria kuhusu haki za usimamzi wa mashamba, sehemu za uvuvi na misitu.

Mipangilio hiyo inatolewa kufuatia majadiliano yaliyoanzishwa na shirika la chakula duniani mwaka 2009 na kufanikishwa kufuatia ushirikiano kutoka kwa mashirika ya umma, sekta za kibinafsi, mashirika ya kimataifa na wasomi. Joshua Mmali na taarifa kamili.

SAUTI YA JOSHUA MMALI