Matarajio na mapendekezo ya raia kwa mkutano wa UNCTAD

24 Aprili 2012

Caroline Khamati Mugalla ni afisa kutoka shirika la muungano wa wafanyakazi Afrika Mashariki amehudhuria mkutano wa UNCTAD unaoendelea nchini Qatar, Doha. Amepata kuzungumza na afisa kutoka redio ya Umoja wa Mataifa na alikuwa na haya ya kusema...

(MAHOJIANO YA CAROLINE MUGALLA)