Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

DRC yatakiwa kutatua tofauti za kisiasa kwa amani

DRC yatakiwa kutatua tofauti za kisiasa kwa amani

Mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa kwenye Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo MONUSCO balozi Roger Meece amewataka wenyeji wa nchi hiyo kutumia njia za kisheria kutatua mzozo wa uchaguzi unaondelea nchini humo.

Hii ni baada ya kiongozi mkuu wa upinzani nchini DCR kupinga matokeo ya uchaguzi huo. Akiliarifu baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu hali nchini DRC Meece amesisitiza kuwe na mazunguzmo nchini humo.

(SAUTI YA ROGER MEECE)