Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UPU inafikiria kuwa huduma za elektroniki za posta ni muhimu sana

UPU inafikiria kuwa huduma za elektroniki za posta ni muhimu sana

Utafiti mpya uliofanya na muungano wa huduma za posta duniani UPU unatoa mwangaza wa miaka 20 ya maendeleo ya huduma za elektroniki. Kwa mujibu wa utafiti huo asilimia 70 ya huduma za posta duniani zinadhani huduma za elektroniki ni muhimu sana hapo baadaye. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)