Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF yasherekea wiki ya kunyonyesha duniani

UNICEF yasherekea wiki ya kunyonyesha duniani

Huku dunia ikisherehekea wiki ya kunyonyesha shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limeungana na mashirika mengine duniani kuutangazia umma na kuhakikisha kuwa vijana kwenye nchi zinazondelea na zilizostawi wameelewa umuhimu wa kunyonyesha watoto.

Unyonyeshaji unatajwa kuchangia katika kupunguza vifo vya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano. Kwa sasa inakadiriwa kuwa ni asilimia 36 tu ya watoto walio chini ya miezi sita kwenye nchi zinazoendelea ndio hunyonyeshwa.

(SAUTI YA ALICE KARIUKI)

Alice Kariuki na taarifa kamili