Skip to main content

WFP yaanzisha mpango wa chakula kwa wanaoishi na virusi vya ukimwi

WFP yaanzisha mpango wa chakula kwa wanaoishi na virusi vya ukimwi

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP linazindua sera mpya kuhusu ugonjwa wa ukimwi yenye lengo la kujumuisha usaidizi wa lishe kwa watu wanaoishi na virusi vya ukimwi pamoja na familia zao.

(SAUTI YA EMILIA CASELLA)