Skip to main content

Mchango wa ujasiriamali katika kutimiza malengo ya milenia

Mchango wa ujasiriamali katika kutimiza malengo ya milenia

Ikiwa imesalia miaka mitano katika kutimiza Malengo ya Maendeleo ya Milenia yaani MDGs, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesisitiza kila nchi kutumia mbinu zote zinazowezekana katika kutimiza haya malengo.