Skip to main content

Japan inasema upokonyaji wa silaha za nyuklia lazima uwe na mtazamo maalumu

Japan inasema upokonyaji wa silaha za nyuklia lazima uwe na mtazamo maalumu

Wakati huohuo mwaka huu ni muhimu saana katika kuelekea kuwa na dunia isiyo na silaha za nyuklia, wakati ukijongea mkutano wa kimataifa wa usalama wa nyuklia na kuupitia mkataba wa kutozalisha nyuklia.

Makamu wa Rais wa bunge la Japan anayehusika na uhusiano wa kimataifa Chinami Nishimura ameuambia mkutano wa upokonyaji sialaha mjini Geneva kwamba Tokyo inaamini suala la upokonyaji sialaha za nyuklia na kutozizalisha lazima liangaliwe kwa mtazamo maalumu na unaotekelezeka.