Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakenya waliokimbilia Uganda baada ya uchaguzi mwaka 2007 hawakurudi makwao

Wakenya waliokimbilia Uganda baada ya uchaguzi mwaka 2007 hawakurudi makwao

Uchaguzi tata wa mwaka 2007 nchini Kenya ambao ulipelekea kuzuka kwa ghasia baada ya matokeo kutangazwa ulichangia wananchi wengi kukimbilia nchi jirani ili kuepuka ghasia.

Miaka 6 baadaye bado kuna wakimbizi wengi walioko nchi jirani waliko tafuta hifadhi ikiwemo Uganda. ijapokua wana nia ya kurudi nyumbani lakini bado wanahofia kama watarudi wapi basi ungana na John Kibego wa Radio washirika Spice FM ili kujua hali ilvyo