Wahamiaji Afrika wasaka hifadhi Afrika
Pakua
Wahamiaji kutoka Afrika kwenda Afrika! Hivi ndivyo unavyoweza kusema kuhusu maelfu ya wasaka hifadhi na wakimbizi walioko nchini Misri ambao wanasaidiwa na shrike la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.
Kamishna Mkuu wa UNHCR amewatembelea wasaka hifadhi hao na kuzungumza nao ili kuwasaidia.
Ungana na Amina Hassan katika makala ifuatayo.