13 Machi 2019
Pakua
Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Arnold Kayanda anakuletea
-Unyafunzi waendelea kuweka maisha ya watoto njia panda nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, 260,000 waathirika eneo la Kasai
-Kenya imesema imeweka mikakati kabambe kuhakikisha inamkwamua mwanamke kiuchumi na kijamii
-Nchini Sudan Kusini wito umetolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kuhakikisha watoto wenye ulemavu wajumuishwe katika elimu
- Katika makala leo tunakutana na kijana mleta mabadiliko katika jamii Thobias Komba kutoka Tanzania ambaye anashiriki kwenye mkutano wa 63 wa Kamisheni ya hali ya wanawake duniani, CSW
-Mashinani tunabisha hodi kaunti ya Kisii nchini Kenya kuangalia nafasi ya mwanamke katika uongozi
Audio Credit
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration
9'58"