DRC

15 Julai 2019

Miongoni mwa yale anayokuletea assumpta Massoi katika Jarida letu la Habari leo ni pamoja na 

-Kisa kipya cha Ebola chaibuka Goma DRC , shirika la afya WHO na serikali wanafanya kila njia kuzuia kusambaa kwa mlipuko huo

Sauti -
12'15"

Kisa cha Ebola Goma, DRC, chasababisha kuitishwa kwa kikao cha kamati ya dharura WHO

Shirika la afya ulimwenguni, WHO limechukua hatua kufuatia kubainika kwa mgonjwa wa Ebola kwenye mji wa Goma jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.

Hali ya sasa ya homa ya Ebola nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo

Kuzuka kwa homa ya Ebola katika mikoa ya Kivu Kaskazni na Ituri nchini Jamuri ya Demokrasia ya Congo kumeendelea wiki iliyopita huku maambukizi sawa na hayo yakiongezeka wiki iliyotangulia.

 

Mlipuko wa surua DRC ni changamoto kwani ebola nayo imekita kambi

Wahudumu wa afya nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC, kwa kushirikiana na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF wanakimbizana na muda katika kampeni ya chanjo kwenye jimbo la ituri Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo baada ya kuzuka mlipuko wa surua uliosababisha karibu vif

Sauti -
1'55"

Jarida la Habari la Julai 11, 2019

Jaridani Julai 11, 2019 na Flora Nducha-

Sauti -
12'17"

Watoto 67,000 kuchanjwa dhidi ya surau Ituri DRC-UNICEF

Wahudumu wa afya nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC, kwa kushirikiana na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF wanakimbizana na muda katika kampeni ya chanjo kwenye jimbo la ituri Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo baada ya kuzuka mlipuko wa surua uliosababisha karibu vifo 2000 nchi nzima tangu mwanzo wa mwaka huu huku waathirika wengi wakiwa ni watoto wa chini ya miaka mitano.

09 Julai 2019

Jaridani Julia 9, 2019 na Flora Nducha-

-Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres yuko ziarani nchini Kenya ambako leo Jumanne ametembelea eneo la Kamukunji katika mji mkuu  Nairobi kwa ajili ya kukutana na vijana. 

Sauti -
12'55"

Mahakama ya ICC yamtia hatiani Ntaganda wa DRC kwa uhalifu wa vita

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC leo imemtia hatiani kiongozi wa zamani wa waasi John Bosco Ntaganda kwa makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binaadamu nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.

Sauti -
2'22"

08 jULAI 2019

Jaridani leo Jumatatu ya Julai 8, 2019 na Flora Nudhc pata habari kuhusu:

-Mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC leo imemtia hatiani kiongozi wa zamani wa waasi John Bosco Ntaganda kwa makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binaadamu nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Sauti -
12'58"

Mahakama ya ICC yamtia hatiani Ntaganda kwa uhalifu wa vita

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC leo imemtia hatiani kiongozi wa zamani wa waasi John Bosco Ntaganda kwa makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binaadamu nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.