Tusipokuwa suluhu ya changamoto ya bayoanuai tuliyosababisha, basi tuko matatani:Mrema
Tatizo la kutoweka kwa bayoanuai ambayo ni muhimili mkuu wa maisha ya dunia na viumbe vilivyomo linaongezeka kila uchao na mlaumiwa mkubwa ni binadamu na shughuli zake za kila siku.