Harakati za kusaka usalama huko Gaza
Wengi wa wananchi wa Gaza milioni 2.3 wanakimbia ghasia zinazozidi kaskazini na Kusini mwa Gaza kutokana na vita ambayo sasa ina miezi saba na ambayo imesababisha vifo vya wapalestina 36,000 na kuwaacha wengine katika njaa huku wengine wakiwa wamefukiwa kwenye vifusi katika maeneo yaliyo zingirwa.
Habari Zaidi katika picha
![Familia ya kipakistani, Hawa Bibi na wajukuu zake wameketi kuzunguka jiko nyumbani mwao ili kujipatia joto. Familia ya kipakistani, Hawa Bibi na wajukuu zake wameketi kuzunguka jiko nyumbani mwao ili kujipatia joto.](https://global.unitednations.entermediadb.net/assets/mediadb/services/module/asset/downloads/preset/Libraries/Production%20Library/A_2.jpg/image300x180cropped.jpg)
![Nadiya ili kumpatia joto, akimweka karibu na jiko mtoto wake Ataullah mwenye umri wa miezi 8 baada ya jamii yake kuathirika na mafuriko nchini Pakistani. Nadiya ili kumpatia joto, akimweka karibu na jiko mtoto wake Ataullah mwenye umri wa miezi 8 baada ya jamii yake kuathirika na mafuriko nchini Pakistani.](https://global.unitednations.entermediadb.net/assets/mediadb/services/module/asset/downloads/preset/Libraries/Production%20Library/B.jpg/image300x180cropped.jpg)
![Vifaa vya majira ya baridi vya UNICEF viko tayari kusambazwa miongoni mwa watoto walioathiriwa na mafuriko vijijini Pakistani. Vifaa vya majira ya baridi vya UNICEF viko tayari kusambazwa miongoni mwa watoto walioathiriwa na mafuriko vijijini Pakistani.](https://global.unitednations.entermediadb.net/assets/mediadb/services/module/asset/downloads/preset/Libraries/Production%20Library/C.jpg/image300x180cropped.jpg)
![Afisa Mawasiliano wa UNICEF - Moeed Hussain akikagua jaketi ambazo ziko tayari kusambazwa kwa watoto walioathiriwa na mafuriko katika Kijiji cha Mitho Babbar, Wilaya ya Dadu, Sindh nchini Pakistani. Afisa Mawasiliano wa UNICEF - Moeed Hussain akikagua jaketi ambazo ziko tayari kusambazwa kwa watoto walioathiriwa na mafuriko katika Kijiji cha Mitho Babbar, Wilaya ya Dadu, Sindh nchini Pakistani.](https://global.unitednations.entermediadb.net/assets/mediadb/services/module/asset/downloads/preset/Libraries/Production%20Library/D.jpg/image300x180cropped.jpg)
![Afisa Mawasiliano wa UNICEF - Moeed Hussain akiipa familia blanketi wakati wa usambazaji wa vifaa vya majira ya baridi vya UNICEF katika Kijiji cha Zangi Brohi, Wilaya ya Dadu, Sindh, Pakistan. Afisa Mawasiliano wa UNICEF - Moeed Hussain akiipa familia blanketi wakati wa usambazaji wa vifaa vya majira ya baridi vya UNICEF katika Kijiji cha Zangi Brohi, Wilaya ya Dadu, Sindh, Pakistan.](https://global.unitednations.entermediadb.net/assets/mediadb/services/module/asset/downloads/preset/Libraries/Production%20Library/E.jpg/image300x180cropped.jpg)
![Lakhi Bibi akiwa na watoto wake ndani ya hema lake akijaribu kuwapatia joto baada ya kupokea vifaa vya UNICEF vya majira ya baridi katika kijiji cha Zangi Brohi, Pakistani. Lakhi Bibi akiwa na watoto wake ndani ya hema lake akijaribu kuwapatia joto baada ya kupokea vifaa vya UNICEF vya majira ya baridi katika kijiji cha Zangi Brohi, Pakistani.](https://global.unitednations.entermediadb.net/assets/mediadb/services/module/asset/downloads/preset/Libraries/Production%20Library/F.jpg/image300x180cropped.jpg)
Pagination
- Previous page
- Page 2
- Next page