Nadiya ili kumpatia joto, akimweka karibu na jiko mtoto wake Ataullah mwenye umri wa miezi 8 baada ya jamii yake kuathirika na mafuriko nchini Pakistani.
Afisa Mawasiliano wa UNICEF - Moeed Hussain akikagua jaketi ambazo ziko tayari kusambazwa kwa watoto walioathiriwa na mafuriko katika Kijiji cha Mitho Babbar, Wilaya ya Dadu, Sindh nchini Pakistani.
Afisa Mawasiliano wa UNICEF - Moeed Hussain akiipa familia blanketi wakati wa usambazaji wa vifaa vya majira ya baridi vya UNICEF katika Kijiji cha Zangi Brohi, Wilaya ya Dadu, Sindh, Pakistan.
Lakhi Bibi akiwa na watoto wake ndani ya hema lake akijaribu kuwapatia joto baada ya kupokea vifaa vya UNICEF vya majira ya baridi katika kijiji cha Zangi Brohi, Pakistani.