Somalia

UN Photo/Ilyas Ahmed
“Isipokuwa mashirika ya misaada ya kibinadamu yatataendeleza operesheni zake au kuziimarisha hususan katika maeneo ambako kunashuhudiwa ukame, kuna tishio katika kupoteza mafanikio kutokana na hatua ambazo tayari zimepigwa, kwani Somalia inasalia katika moja ya mizozo ya muda mrefu duniani.”

Peter de Clercq, Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia.

Mashirika ya kibinadamu na serikali ya shirikisho ya Somalia wamezindua ombi la dola bilioni 1.08 kwa ajili ya mpango wa misaada ya kibinadamu kwa mwaka 2019.

Grandi alipokutana na wakimbizi wa Somalia nchini Kenya

Taarifa Zihusianazo