Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

06 OKTOBA 2021

06 OKTOBA 2021

Pakua

Leo katika Jarida la Umoja wa Mataifa Assumpta Massoi anakuletea

-Janga la utapiamlo limefurutu ada nchini Afghanistan , huku mabadiliko ya tabianchi na vita vinadhidisha madhila kwa watoto na familia zao yameonya mashirika ya Umoja wa Mataifa la UNICEF na WFP

-Mradi wa uvuvi wa shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO ujulikanao FISH4ACP baada ya kushamiri Kigoma Tanzania sasa umehamia mkoani Katavi kuwaletea nuru wavuvi

-Kikosi cha walindamani wa Tanzania wanaohudumu katika kikosi cha kujibu mashambulizi FIB kilicho chini ya mpango wa UN nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kiitwacho MONUSCO wametunukiwa nishani ya Umoja wa Mataifa

-Makala yetu inatupeleka Kenya kwa mwanariadha nyota Faith Kipyegoni aliyeshiriki mashindano ya karibuni ya Olimpiki nchini Japan

-Na leo mashinani tunakwenda nchini Tanzania kwake Sheikh Issa Othman Issa na ujumbe mahsusi kuhusu chanjo dhidi ya Corona au coronavirus">COVID-19

Audio Credit
UN News/Assumpta Massoi
Audio Duration
14'24"