Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

21 SEPTEMBA 2020

21 SEPTEMBA 2020

Pakua

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea 

-Umoja wa Mataida waadhimisha miaka 75 tangu kuanzishwa mkuu wa Umoja huo asema pamoja na mafanikio makubwa yaliyopatikana safari bado ni ndefu inayohitaji mshikamano kunusuru kizazi hiki na vijavyo

-Tanzania inasema katika miaka 75 ya Umoja wa Mataifa kumekuwa na ushirikiano mkubwa na mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa ikiwemo la maendeleo UNDP, na la utalii UNWTO utamsikia Devotha Mdachi kutoka bodi ya utalii Tanzania

-Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa mara ya kwanza lafikisha misaada muhimu ya kuokoa maisha Jebel Marra eneo la milima huko Darfur Sudan baada muda mrefu wa eneo hilo kutofikika

-Makala yetu leo inatupeleka Uganda kusikia maoni ya mkimbizi kuhusu mchango wa Umoja wa Mataifa ambao unaadhimisha miaka 75 ya kuuhudumia ulimwengu

-Na mashinani tunabisha hodi Pemba Msumbiji mnufaika wa msaada wa umoja wa Mataifa baada ya kuathirika na kimbunga Idai na Keneth.

Audio Credit
UN News/ Flora Nducha
Audio Duration
14'51"