lebanon

Theluji pasi kifani yatishia maisha ya wakimbizi Lebanon

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema hali mbaya ya hewa inayoambatana na majira ya baridi kali  yaliyoghub

Sauti -

Theluji inayomiminika Lebanon yaongeza zahma kwa wakimbizi: UNHCR 

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema hali mbaya ya hewa inayoambatana na majira ya baridi kali  yaliyoghubikwa na kumwagika kwa theluji nyingi Mashariki ya Kati, imeongeza zahma kwa mamilioni ya wakimbizi na wakimbizi wa ndani. 

30 DESEMBA 2020

Katika Jarida la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea matukio ya mwaka 2020

Sauti -
11'45"

Msimu wa baridi ukianza madhila ya wakimbizi Lebanon yanaongezeka

Maelfu ya wakimbizi nchini Lebanon sasa wanaanza kuhaha kwani majira ya baridi yamewadia na kila mwaka huwapa changamoto kubwa lakini mwaka huu madhila yanatarajiwa kuongezeka kutokana na mgogoro wa kiuchumi na mfumoko wa bei ulioanza Oktoba mwaka 2019 ambao sasa umefikia asilimia 174.

Sauti -
2'26"

Majira ya baridi yameanza Lebanon wakimbizi wahaha huku ukata ukizidisha adha:UNHCR 

Maelfu ya wakimbizi nchini Lebanon sasa wanaanza kuhaha kwani majira ya baridi yamewadia na kila mwaka huwapa changamoto kubwa lakini mwaka huu madhila yanatarajiwa kuongezeka kutokana na mgogoro wa kiuchumi na mfumoko wa bei ulioanza Oktoba mwaka 2019 ambao sasa umefikia asilimia 174. Yote haya yanamanisha fedha na msaada wanaopewa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR hautokidhi mahitaji.

Vijana na hatua kupunguza athari za COVID-19 Lebanon

Nchini Lebanon, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF kwa kushirikiana na shirika  la  kiraia  liitwalo  LOST,  linajumuisha  vi

Sauti -
1'58"

Vijana wakulima Lebanon washiriki kupunguza makali ya COVID-19 kwa jamii zao

Nchini Lebanon, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF kwa kushirikiana na shirika  la  kiraia  liitwalo  LOST,  linajumuisha  vijana katika kusaidia watu kukabiliana na athari za ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona au COVID-19. 

Walinda amani nao hawajaachwa nyuma katika harakati za kuokoa urithi wa kitamaduni Lebanon

Walinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Lebanon, wakishirikiana na Jeshi la Lebanoni na shirika la Blue Shield International wamekamilisha mradi wa mwezi mmoja wa kuokoa na kulinda mali za urithi wa kitamaduni zilizoharibiwa baada ya milipuko ya Beirut ya Agosti 4.

Sauti -
2'3"

Walinda amani wa Umoja wa Mataifa washiriki kuokoa urithi wa kitamaduni Lebanon 

Walinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Lebanon, wakishirikiana na Jeshi la Lebanoni na shirika la Blue Shield International wamekamilisha mradi wa mwezi mmoja wa kuokoa na kulinda mali za urithi wa kitamaduni zilizoharibiwa baada ya milipuko ya Beirut ya Agosti 4.

WHO yatoa vifaa na mafunzo kupambana na COVID-19 Beirut 

Shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO linatoa msaada wa aina mbalimbali kusaidia vita dhidi ya janga la corona au COVID-19 nchini Lebanon hasa kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa  baada ya milipuko iliyotokea mwezi Agosti mwaka huu mjini Beirut.