ujasiriamali

Mwalimu wa kike aanzisha biashara inayotoa fursa za ajira kwa wengine Uganda

Wanawake wanajumuisha takriban asilimia 52.5 ya nguvu kazi na ni kiungo muhimu katika kufanikisha melengo ya maendeleo endelevu, SDGs, hususan katika sekta ya ujasiriamali kwenye biashara ndogo ndogo na za wastani.

Sauti -
3'59"

Wanawake huko Mtwara nchini Tanzania wachukua hatua kujinasua kutoka kwenye umaskini

Lengo namba 10 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs linaangazia jinsi ya kuondoa pengo la kipato kati ya walio nacho na wasio nacho. Hii ni kwa kuzingatia kuwa ukosefu wa usawa kwenye kipato unaongezeka ambapo asilimia 10 ya matajiri duniani wanamiliki asilimia 40 ya pato la dunia nzima.

Sauti -
3'41"

Ujasiriamali ni daraja kati ya wakimbizi, wahamiaji na jamii:UN

Mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa yamezindua mwongozo wa sera mpya kwa nchi zinazohifadhi wakimbizi na wahamiaji, wadau wa maendeleo na washirika wa kibinadamu, utakaosaidia kujenga fursa za kiuchumi kwa wahamiaji na wakimbizi.

Wanawake lazima wapewe kipaumbele kutimiza ajenda ya 2030

Mashirika ya misaada ya kibinadamu, asasi za kiraia na serikali mbalimbali zimehimizwa kuwekeza nguvu zao katika kuinuwa vipato vya watu vijijini hususani wanawake kwa kupitia miradi ya ujasiriamali ,kutoa  mafunzo, semina na mbinu mbalimbali zitakazoliwezesha kundi hilo katika j

Sauti -

Wanawake lazima wapewe kipaumbele kutimiza ajenda ya 2030

Mashirika ya misaada ya kibinadamu, asasi za kiraia na serikali mbalimbali zimehimizwa kuwekeza nguvu zao katika kuinuwa vipato vya watu vijijini hususani wanawake kwa kupitia miradi ya ujasiriamali ,kutoa  mafunzo, semina na mbinu mbalimbali zitakazoliwezesha kundi hilo katika jamii.

Ujasiriamali ni lulu kwa wanawake Afghanistan

Wanawake nchini Afghanistan wamekuwa mfano kwenye jamii zao katika utekelezaji wa usemi “penye nia pana njia”. Hii ni baada ya kukujikita katika masuala ya ujasiriamali ili kujikwamua na umasikini. Wanajihusisha na shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo cha mboga mboga na ufundi cherehani.

Sauti -

Ujasiriamali ni lulu kwa wanawake Afghanistan

Si lazima kwenda nje ya nchi kutimiza ndoto zako

Wahamiaji waliorejea nyumbani kwa hiari baada ya mateso nchini Libya na Niger wameamua kujihusisha na shughuli za kiuchumi ili kuboresha maisha yao. Selina Jerobon na ripoti kamili.

(Taarifa ya Selina Jerobon)

Sauti -

Si lazima kwenda nje ya nchi kutimiza ndoto zako