Restless Development

Hatutaki tena kuzurura mitaani, tunachapa kazi: Vijana Itigi, Singida 

Nchini Tanzania vijana katika wilaya ya Itigi mkoani Singida wameshika hatamu ya maisha yao kwa kuamua kuachana na kukaa “vijiweni” na badala yake kushiriki katika ujasiriamali na hivyo kwenda sambamba na wito wa Umoja wa Mataifa wa kuondokana na umaskini. 

Tunaamini maendeleo ya ulimwengu yanaweza kufanikishwa na kusimamiwa na vijana-Farida Makame 

Ulimwengu ukiwa katika muongo wa kuelekea kufikia utimizaji wa malengo ya Umoja wa Mataifa ya maendeleo endelevu SDGs ifikapo mwaka 2030, shirika lisilo la kiserikali nchini Tanzania, Restless Development, lina imani kubwa kwa vijana kuwa wamekuwa na wanaendelea kuwa na mchango mkubwa katika kufa

Sauti -
3'

Kiwanda cha chaki Ikungi Singida ni matunda ya mafunzo niliyopata Restless Development- Simon

Nchini Tanzania, shirika la kiraia la Restless Development limekuwa mstari wa  mbele kuona vijana wanapata stadi mbali mbali muhimu ili hatimaye siyo tu wawe viongozi kwenye jamii zao bali pia waweze kushiriki shughuli za ujasiriamali na kunusuru vijana wenzao kutoka katika lindi la  Umaskini.

Sauti -
2'23"

Restless Development imetuwezesha kuanzisha kiwanda cha chaki

Nchini Tanzania, shirika la kiraia la Restless Development limekuwa mstari wa  mbele kuona vijana wanapata stadi mbali mbali muhimu ili hatimaye siyo tu wawe viongozi kwenye jamii zao bali pia waweze kushiriki shughuli za ujasiriamali na kunusuru vijana wenzao kutoka katika lindi la  Umaskini.

Mchango wa vijana kuleta mabadiliko Tanzania ni mkubwa:Restless Development

Katika kuelekea siku ya vijana duniani itakayoadhimishwa 12 Agosti juma hili ni bayana kwamba vijana kila kona bado wanakabiliwa na changamoto lukuki na mara nyingi mchango wao wa kuleta mabadiliko ama hauonekani au unapuuzwa, lakini sasa hatua zinachukuliwa kubadili hali hiyo ikiwemo nchini Tanz

Sauti -
3'6"

11 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Assumpta Massoi 
Sauti -
14'49"

Mchango wa vijana kuleta mabadiliko Tanzania ni mkubwa:Restless Development

Katika kuelekea siku ya vijana duniani itakayoadhimishwa 12 Agosti juma hili ni bayana kwamba vijana kila kona bado wanakabiliwa na changamoto lukuki na mara nyingi mchango wao wa kuleta mabadiliko ama hauonekani au unapuuzwa, lakini sasa hatua zinachukuliwa kubadili hali hiyo ikiwemo nchini Tanzania. 

Tunashukuru Restless Development imetusaidia kujitambua vijana

Miongoni mwa wasichana waliosaidiwa na Restless Development na kuweza kuelewa kuhusu masuala ya afya ya uzazi na hivyo kujikinga ni Amina Mahia mkazi wa Dodoma.

Sauti -
7'15"

Nchini Tanzania, Restless Development yasaidia vijana kusongesha maazimio ya ICPD-25

Kuelekea siku ya idadi ya watu duniani  kesho Julai 11 inayoangazia miaka 25 baada ya mkutano wa kimataifa Cairo kuhusu idadi ya watu, ICPD-25, hususan afya ya uzazi kwa vijana, tumeangazia nchini Tanzania kuona ni vipi miradi ya wadau wa serikali imesaidia vijana hususan watoto wasichana waliojikwaa na katika maisha na kushindwa kuelewa maana ya afya uzazi na mchango wake katika ustawi wa maisha yao.

 

Kujitolea kumeniwezesha kufika nilipo leo- Devota wa Restless Development

Tarehe 5 ya mwezi Desemba kila mwaka ni siku ya kimataifa ya wafanyakazi wa kujitolea. Wafanyakazi  hao walioenea maeneo mbalimbali duniani wamejitolea kuhakikisha kuwa maisha yanakuwa bora katika jamii yao inayowazunguka.

Sauti -
3'34"