Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

29 JUNI 2020

29 JUNI 2020

Pakua

Katika Jarida la habari za UN hii leo flora nducha anakuletea

-Umoja wa Mataifa nchini Somalia waipongeza setrikali kwa juhudi kubwa za upimaji na mapambano dhidi ya janga la corona au COVID-19

-Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalokabiliana na ukimwi UNAIDS Winnie Byanyima amesema huduma za afya kwa wote si biashara bali ni haki ya binadamu ya kila mtu

-Nchini Malawi kutana na baba ambaye ni mfano wa kuigwa na wanaume wengine katika malezi ya watoto kwenye jamii

-Makala yetu leo inatupeleka nchini Kenya kwa shirika linalokabiliana na uchaguzi wa mazingira kwa kukusanya, kuzichakata na kurejeleza taka ngumu

-Na mashinani tunabisha hodi Malawi kwa binti aliyekataa fikra kwamba masomo ya sayansi ni ya wanaume tu

 

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
12'7"