Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

11 FEBRUARI 2020

11 FEBRUARI 2020

Pakua

Katika Jarida la Habari hii leo siku ya kimataifa ya wanawake na wasichana katika sayansi Anold Kayanda anakuletea

-Umoja wa Mataifa wahimiza wasichana na wanawake kujumuishwa katika masomo ya sayansi ukisema somo hilo ni shirikishi hivyo liziwabakize nyuma watu wa kundi hilo

-Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC hasa eneo la Beni hali ya kibinadamu inazidi kuwa mbaya na dola milioni 150 ili kukidhi mahitaji ya kibinadamu kwa maelfu ya 2watu waliotawanywa na machafuko

-Huko Kenya miradi ya UNHCR na EU yaleta nuru kwa wakimbizi na wenyeji makazi ya wakimbizi ya Kolobeyei

-Makala yetu inatupeleka Uganda kusikiliza sehemu ya pili ya mahojiano baina ya mwandishi wetu na mwanafunzi wa chuo cha uuguzi na ukunga cha Hoima akileleza leo dhamira yake ya kusomea taaluma hiyo

-Na mashinani leo tuko kwa mkulima wa mpunga na ufugaji wa samaki nchini Pakistan akilelezea jinsi mradi huo unaoendeshwa na shirika la chakula na kilimo FAO ulivyowafaidisha.

Audio Credit
UN News/Arnold Kayanda
Sauti
10'59"