wakulima

Biashara ya kilimo kiganjani nchini Uganda

Ubia kati ya kampuni binafsi ya huduma za malipo kwa njia ya simu, MobiPay nchini Uganda na kituo cha Umoja wa Mataifa cha biashara, ITC umeondoa usumbufu wa malipo kwa wakulima baada ya mauzo yao na hata kuwajengea mbinu ya kisasa zaidi ya kujiwekea akiba ya fedha badala ya kuzitumia kiholela ba

Sauti -
2'4"

Muhogo mkombozi umetukomboa kweli Kigoma: Wakulima

Nchini Tanzania harakati za Umoja wa Mataifa kujengea uwezo wakulima katika kutambua mbinu bora za kilimo kinachohimili mabadiliko ya tabianchi, zimezaa matunda huko mkoani Kigoma baada ya wakulima wa wilayani Kakonko kuvuna zao la muhogo walilopanda kwa kuzingatia ushauri wa wataalamu.

Sauti -
3'7"

25 MACHI 2021

Katika Jarida la Habari za UN hii leo Grace Kaneiya anakuletea

Sauti -
13'5"

FAO Tanzania yawasaidia wakulima kurutubisha lishe kupambana na utapiamlo

Nchini Tanzania shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa (

Sauti -
2'12"

WFP imelifungua tena soko la wakulima Cox's Bazar baada ya kulifunga sababu ya COVID-19 

Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP wiki hii limelifungua  tena soko kubwa la wakulima kwenye kambi ya wakimbizi wa Rohingya ya Cox’s Bazar nchini Bangladesh baada ya kulifunga kwa miezi kadhaa kufuatia mlipuko wa janga la corona au COVID-19. Soko hilo ambalo ni sehemu ya mradi wa WFP ni neema sio tu kwa wakimbizi bali pia jamii inayowahifadhi.

Janga la nzige laendelea kuzusha zahma kubwa kwa wakulima na wafugaji Yemen:FAO 

Maisha ya wakulima na wafanyakazi yameendelea kupata pigo kubwa kutokana na janga linaloendelea la nzige nchini Yemen ambao wamesambaratisha mazao, malisho ya mifugo na kuongeza shinikizo kwa maelfu ya watu ambao tayari wamechoshwa na miaka ya vita vinavyoendelea nchini humo limesema shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO.

UNDP yapiga jeki juhudi za wakulima wa pilipili Tanzania

Nchini Tanzania harakati za kuondokana na umaskini zinaendelea kushika kasi mashinani zikipigiwa chepuo na Umoja wa Mataifa. Miongoni mwa hatua hizo ni kilimo cha kisasa cha mboga mboga na matunda kinachoendeshwa na wanawake kupitia chama cha wakulima wa mboga na matunda nchini Tanzania, TAHA.

Sauti -
5'38"

Dola milioni 100 zahitajika haraka kuwanusuru wakulima, wavuvi na wafugaji Yemen:FAO

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa

Sauti -
1'43"

Dola milioni 100 zahitajika haraka kuwanusuru wakulima, wavuvi na wafugaji Yemen:FAO

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO, leo limetoa ombi la dola milioni 100 zinazohitajika haraka ili kunusurua maisha ya wakulima, wafugaji ,wavuvi  na familia zao nchini Yemen.

Ingawa tumepiga hatua kibarua bado kikubwa kutokomeza nzige wa jangwani:FAO

Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula la kilimo FAO limesema limepiga hatua kubwa katika vita dhidi ya nzige wa jangwani katika eneo la Afrika Mashariki na Yemen lakini limeonya kwamba tishio la nzige hao katika uhakika wa chakula bado ni kubwa.