Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno La Wiki

Habari za UN

Methali: Mla mbegu huvuna vya wenyewe

Karibu kujifunza Kiswahili, mchambuzi wetu Dkt. Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia methali isemayo “Mla mbegu huvuna vya wenyewe.”

Sauti
1'41"