Marimba kwa wa Chopi ni chombo cha kitamaduni
Iwe ni furaha au majonzi, timbila hukutanisha Wachopi MsumbijiTimbila ni chombo cha muziki wa kitamaduni kutoka nchini Msumbiji ambao umeorodheshwa na shirika la Umoja waMataifa la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO, kama turathi za tamaduni zisizogusika za kibinadamu.