Waathirika Garisa Kenya washukuru UNICEF kwa msaada wa fedha baada ya mafuriko
Kenya inashuhudia kiwango kikubwa cha mvua zaidi ya kile cha kawaida ambacho kimesababisha mafuriko makubwa,maporomoko ya udongo na maelfu ya watu kutawanywa hivi karibuni.