Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

© WHO/ Blink Media/Neil Nuia

WHO/UNHCR: Asilimia 75 ya vifo vyote duniani vinatokana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza

Mashirika ya Umoja wa Mataifa lile la afya duniani WHO  na la kuhudumia wakimbizi duniani UNHCR leo yameonya kwamba athari zinazoletwa na magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama vile saratani, magonjywa na mfumo wa hewa na kisukari kwa maisha ya watu duniani ni kubwa huku yakiwa ni chanzo cha asi

Sauti
2'40"