23 FEBRUARI 2023
Jaridani leo tunakuletea mada kwa kina ambapo leo tunabisha hodi kaunti ya Makueni Kenya kuangazia mchango na faida za mikunde kwa mazingira, wakulima na jamii.
Jaridani leo tunakuletea mada kwa kina ambapo leo tunabisha hodi kaunti ya Makueni Kenya kuangazia mchango na faida za mikunde kwa mazingira, wakulima na jamii.
Jamii ya mikunde! Wengi wanaitambua zaidi kama ni kunde zenyewe, na maharagwe lakini ni zaidi ya hiyo.
Hii leo jaridani tunakuletea habari kuhusu mwelekeo wa matumizi ya maji barani Afrika, na elimu kwa watoto waliotumikishwa jeshini nchini DR Congo. Makala tutakupeleka nchini Tanzania na mashinani tunarudi tena nchini DR Congo.
Mradi mpya wa shule nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC uliozinduliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF na wadau wake kwa ufadhili kutoka mfuko wa Umoja wa Mataifa wa kuchagiza elimu kwenye maeneo ya mizozo, Education Cannot Wait, ECW,
Ni wakati kufikiria upya jinsi ya kutumia maji kwa njia endelevu na yenye uwiano huku ubunifu katika kilimo ukiwa kitovu cha mipango yote, amesema Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo, FAO limesema Qu Dongyu hii leo wakati akizungumza na viongozi na wata
Ni Jumanne ya tarehe 21 mwezi Februari mwaka 2023, Siku ya Kimataifa ya Lugha Mama ambapo leo tutasalia hapa hapa nchini Marekani kuangazia juhudi za mzazi kuwarithisha watoto wake lugha mama licha ya changamoto ya kuwa wanaishi katika mazingira ya lugha tofauti.
Umoja wa Mataifa unaeleza kuwa Haki ya kijamii inafanya jamii na uchumi wa jamii hizo kufanya kazi vizuri na kupunguza umaskini, ukosefu wa usawa na mivutano ya kijamii.
Ujumbe wa mashirika ya Umoja wa Mataifa umetembelea hospitali na kliniki zinazoungwa mkono na shirika lisilo la kiserikali la Misaada na Maendeleo la Syria au SRD, Kaskazini Magharibi mwa Syria na kujionea athari za tetemeko la Ardhi lililoikumba nchi hiyo wiki mbili zilizopita pamoja na kujionea
Kuelekea siku ya kimataifa ya lugha ya mama duniani hapo kesho, mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu makabila madogo amesema serikali lazima zichukue hatua zaidi juu ya matumizi ya lugha za makabila hayo madogo kwani zama za kuchagua lugha moja tu kutumiwa na taifa zima huku nyingine zikiengu
Hii leo jaridani linaangazia lugha ya mama tunapoelekea katika siku ya Lugha ya Mama Duniani, na huduma za afya nchini Syria baada ya tetemeko la ardhi. Makala tutakupeleka nchini Tanzania na mashinani nchini Uganda.