Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

© UNICEF/Claudio Fauvrelle

Hofu ya athari yatanda huku kimbunga Freddy chabisha hodi Msumbiji: WMO

Kimbunga Freddy moja ya vimbunga vilivyodumu kwa muda mrefu na kusababisha athari kubwa sehemu mbalimbali sasa kimeondoka Madagascar na kubisha hidi Msumbiji ambako kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la utabiri wa hali ya hewa duniani WMO kinaleta tishio kubwa kwa sababu ya kiwango cha mvu

Audio Duration
2'15"