Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

27 FEBRUARI 2023

27 FEBRUARI 2023

Pakua

Hii leo katika jarida la UN Anold Kayanda anamulika:

  1. Mkutano wa kimataifa wa kuchangisha fedha kwa ajili ya Yemen unaofanyika Geneva, USwisi
  2. Nchini Kenya mradi wa ILO wajengea wanawake wa kimasai uwezo wa kushiriki shughuli za kiuchumi na kijamii na sasa wanaweza sio tu kusoma bali pia ni wajasiriamali.
  3. Makala anakupeleka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR huko walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania wafundisha wakulima matumizi ya jembe la mkono kwenye kilimo badala ya panga.
  4. Mashinani Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri  nchini Tanzania na ujumbe wake kwa wazazi kuhusu  malezi sahihi kwa watoto.

Karibu!

Audio Credit
ANOLD KAYANDA
Audio Duration
12'52"