Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

26 SEPTEMBA 2022

Hii leo kwenye Habari za UN Flora Nducha anaanza na Sudan Kusini ambako wataalamu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu nchini humo wanataka jamii ya kimataifa itupie jicho la umakini mkataba wa amani wa mwaka 2018 ili uweze kutekelezwa kwa umakini, kwani hivi sasa kuna shaka na shuku ya utekel

Sauti
12'51"