Umoja wa Mataifa ukitimiza miaka 75 na mafanikio iliyoyafikia
Kesho ni siku ya Umoja wa Mataifa, chombo hicho kikitimiza miaka 75 tangu kuanzishwa kwake!
Kesho ni siku ya Umoja wa Mataifa, chombo hicho kikitimiza miaka 75 tangu kuanzishwa kwake!
Pata habari, mada kwa kina na fursa ya kujifunza Neno la Wiki na Assumpta Massoi
Janga la ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya Corona limevuruga ndoto za mamilioni ya watu kote duniani. Elimu, afya, biashara, utalii, ukuaji wa kiuchumi na kadhalika vimeyumba kwa kiasi kikubwa. Assumpta Massoi na maelezo zaidi.
Janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 limepunguza sekta ya ushonaji nguo huko ukanda wa Asia na Pasifiki kutokana na kuporomoka kwa mauzo ya rejareja hasa kwenye nchi zinazonunua zaidi nguo kutoka ukanda huo, umesema utafiti mpya wa shirika la kazi la Umoja wa Mataifa, ILO uliotolewa
Wakati kunafanyika mkutano wa wahisani ili kusaidia wakimbizi wa kabila la Rohingya nchini Myanmar ambao wengine wamekimbilia nchi jirani ikiwemo Bangladesh, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, linasisitiza umuhimu wa usaidizi wa kimataifa na kuongeza maradufu jitihada za k
Wadau waandaa mkutano wa kuchangisha fedha kusaidia warohingya.
COVID-19 yaporomosha ununuzi wa nguo duniani, Asia-Pasifiki yaathirika zaidi.
Virusi vya corona vilibadilisha matarajio yangu katika UN lakini nimejifunza SDGs-Loise Wairimu
Ni wazi kwamba ili kujenga jamii iliyo bora, ni muhimu kuanzia chini katika mizizi ya jamii yaani kuwaelimisha watoto kuhusu wajibu na haki zao.
Mkimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC amekuta ndoto zake zikitimia baada ya kupata mafunzo katika Chuo cha Afrika kinachofundisha masuala ya ndege hizo pamoja na uchambuzi wa data.
Umoja wa Mataifa ukitimiza miaka 75 tareh 24 mwezi huu wa Oktoba, moja ya jukumu muhimu linalomulikwa ni nafasi yake katika kuzuia migogoro.