Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

25 JUNI 2020

Ikiwa leo ni siku ya mabaharia duniani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kuwa sasa ni wakati muafaka wa kuwapa mabaharia heshima wanayoistahili. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC imetangaza kutokomezwa kwa mlipuko wa 10 wa Ebola&

Sauti
13'47"