Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

© UNHCR/Tobin Jones

Virusi vya corona vyaingia katika kambi ya Dadaab, Kenya na UNHCR zaimarisha huduma ya afya katika kambi za wakimbizi

Baada ya wagonjwa wawili wa virusi vya corona kuthibitishwa katika kambi ya wakimbizi ya Dadaab nchini Kenya, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR hii leo limetoa taarifa kuwa kwa kushirikiana na mashirika mengine ya kutoa msaada wa kibinadamu pamoja na serikali ya Kenya wanai

Sauti
2'45"
© FAO/IFAD/WFP/Michael Tewelde

WFP: Njaa kuongezeka mara mbili Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika sababu ya COVID-19

Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP, kuhusu athari za kijamii na kiuchumi za janga la corona au COVID-19,  imeonyesha kuwa tatizo la njaa linaweza kuongezeka zaidi ya mara mbili katika enchi za Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika katika mie

Sauti
12'16"