Tanzania iimarishe sekta ya maji ili kuchochea maendeleo- Ripoti
Tanzania inahitaji kuboresha haraka usimamizi wa vyanzo vyake vya maji ili uhaba wa maji usiwe kikwazo cha maendeleo.
Tanzania inahitaji kuboresha haraka usimamizi wa vyanzo vyake vya maji ili uhaba wa maji usiwe kikwazo cha maendeleo.
Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imeelezea wasiwasi wake kufuatia mfululizo wa mashambulizi nchini Yemen katika kipindi cha wiki moja iliyopita ambapo makumi ya raia wameuawa wakiwemo watoto.
Kuna ongezeko kubwa dhidi ya mahali pa kuabudu, viongozi wa dini na waumini nchini Afghanistan ikiwemo mashambulizi kwenye misikiti ya Waislam wa Shia na waumini wao.
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi,UNHCR, limekamilisha awamu ya kwanza ya kuhesabu kaya za waislamu wa kabila la Rohingya huko nchini Bangladesh.
Juma hili makamishina wa polisi wa Umoja wa Mataifa kutoka katika sehemu mbalimbali za operesheni za amani za Umoja huo wamekusanyika kwenye makao makuu hapa mjini New York Marekani kuanzia leo ili kuwasilisha ripoti zao kwenye baraza la usalama la Umoja wa Mataifa.
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa leo limekutana kujadili hali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati ambapo Mwakilishi maalum wa Katibu mkuu nchini CAR Parfait Onanga- Anyanga amesema ombi la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa la kutaka kuongezwa kwa vikosi vya Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jam
Jopo la watalam wa haki za kibinadamu wa Umoja wa Mataifa wameiasa mamlaka ya Hong Kong kuheshimu ahadi zake katika kutekeleza haki za binadamu kwa wanaharakati wa kidemokrasia watatu watakaokata rufaa kupinga hukumu zao tarehe 7 Novemba.
Katika Juhudi za kuunda ajira na kuhifadhi mazingira, msichana kutoka Burundi Annick Kabatesi ameanzisha mradi wa kutengeneza nguo zitokanazo na magome ya miti. Nguo hizo zimetajwa kuwa zinazingatia uhifadhi wa mazingira. Bi.
Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa mazingira UNEP limeanzisha mafunzo ya kimtandao kuhusu ulinzi wa mazingira ikiwa ni hatua muhimu katika kukomesha migogoro juu ya rasilimali za asili ambayo ni changamoto kubwa katika siasa ya karne ya 21 na kuhatarisha usalama wa b
Tume ya Taifa ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, CENI, imetangaza kuwa uchaguzi mkuu nchini humo sasa utafanyika mwezi disemba mwakani 2018 badala ya mwaka huu kama ilivyokuwa imepangwa awali.