Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wazazi timizeni wajibu wenu kwa watoto kuhusu elimu-Saul

Wazazi timizeni wajibu wenu kwa watoto kuhusu elimu-Saul

Saul Mwame, mwanafunzi wa kidato cha nne shule ye sekondari DCT Mvumi mkoani Dodoma, Tanzania, ni miongoni mwa watoa hotuba leo katika kusanyiko la kimataifa mjini New York, Marekani linalojadili lengo namba nne la maendeleo endelevu SDGs linalotaka elimu jumuishi na yenye usawa.

Saul ni mwasisi wa taasisi ya kujenga mustakabali wa Afrika BAF, ambayo pamoja na membo mengine inawawezesha watu wenye ulemavu hususani vijana wanafunzi, ameiamba idhaa katika mahojiano maalum kwamba kilichomsukuma kuanzisha taasisi hiyo ni.

( Sauti Saul)

Anasema miongoni mwa matunda anayoshuhudia na kujivunia ni.

(Sauti Saul)